UNAPATA HEDHI KILA MWEZI LAKINI HAUPATI MIMBA? TATIZO LA HOMONI LINAWEZA KUWA CHANZO.

WASILIANA NASI SASA HUJACHELEWA

MBOCHI HERBAL LIFE

Afya ya Mwanamke

Afya ya uzazi Elimu ya afya Huduma kwa wanawake
Piga sasa kupata Huduma

Karibu Mbochi Herbal Life!


Hapa tunagusa kila kipengele cha afya ya mwanamke kwa kutumia tiba asilia, lishe bora, na ushauri wa kitaalamu. Tumejikita kusaidia wanawake kurejesha mwili, homoni, uzazi na heshima yao ya ndani kwa njia salama na ya kudumu.

 

HUDUMA KAMILI ZA AFYA YA MWANAMKE


 

1. Afya ya Uzazi:
Tiba ya changamoto kama kuchelewa kushika mimba, hedhi isiyoeleweka, maumivu wakati wa hedhi n.k.

2. Homoni:
Rekebisha homoni zako kwa njia ya asili, rudisha mpangilio wa mwili na hali yako ya kawaida ya mwanamke.
3. Magonjwa ya Uzazi:
Tiba ya PID, PCOS, UTI, fangasi, na magonjwa ya zinaa yanayoathiri mfumo wa uzazi.
4. Saratani ya Uzazi:
Uelewa, kinga na tiba mbadala ya awali ya saratani ya shingo ya kizazi na maeneo mengine ya uke.
5. Uvimbe (Fibroids & Myoma):
Ondoa uvimbe bila upasuaji kwa kutumia dawa asilia zenye nguvu ya kutengeneza seli.
6. PID & Ovarian Cyst:
Tiba ya maumivu ya tumbo ya mara kwa mara, maambukizi ya mirija ya uzazi na uvimbe wa mayai.
7. HPV & Uzazi wa Mpango wa Asili:
Tiba ya maambukizi ya HPV, na mbinu salama za kupanga uzazi bila kemikali
8. Kurejesha Hamu ya Tendo la Ndoa:
Kwa wanawake waliopoteza hisia au kupatwa na ukavu ukeni.
9. Kubana Maumbile Yaliyolegea au Kuchanika:
Funga uke kwa dawa asilia baada ya kuzaa au kutokana na uzito wa miaka.
10. Matibabu ya Msongo wa Mawazo & Hofu Inayoathiri Uzazi:
Afya ya akili huathiri homoni na uzazi – tunakupa tiba ya ndani na nje kwa njia salama.
 

 

TUNACHOTOA

1.Dawa Asilia
2.Mpango wa Lishe
3.Ushauri wa Kibinafsi
4.Matibabu Yasiyo na Upasuaji

Shuhuda


Tiba Zetu

TAZAMA USHUHUDA BAADA YA ULTRASOUND – MIUJIZA YA UZAZI HUANZA HAPA.!


JIUNGE NASI LEO

Pata huduma, ushauri & bidhaa bora kwa afya yako ya kipekee. Gusa hapa kuanza safari yako ya afya:

Simu: +255 757 349 219

Whatsapp: +255 741 220 000

Mahali: Magomeni, Mtaa wa Idrisa Dar es salaam

Website: www.mbochiherbalife.co.tz

Afya ya Mwanamke

Afya ya uzazi Elimu ya afya Huduma kwa wanawake
Piga sasa kupata Huduma